Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Tumia kitenzi vua katika sentensi kama (i)Kishazi tegemezi (iii)Kishazi huru.

      

Tumia kitenzi vua katika sentensi kama
(i)Kishazi tegemezi
(ii)Kishazi huru.

  

Answers


Bonface
i)Mvuvi amevua samaki
ii)Mvuvi aliyevua samaki
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 14:24


Next: Tambua kijalizo katika sentensi ifuatayo: Mwalimu Majisifu alikuwa mwalimu
Previous: Tunga sentensi ukitumia kihusishi 'katika' kuleta dhana ya hali

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions