Toa mfano wa neno lenye silabi funge

      

Toa mfano wa neno lenye silabi funge

  

Answers


Bonface
Muk-tadha
Taf-siri
Dak-tari
Tas-disa
Us-tadhi
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 14:39


Next: Ngeli ya U-ZI ina miundo mbalimbali katika umoja na wingi.Onyesha mabadiliko hayo huku ukitoa mifano katika kila mojawapo.
Previous: Bainisha kiwakilishi katika sentensi hii.Mimi nitamsaidia.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions