Andika katika usemi wa taarifa "Mbona unamfanyia karaha mwenzako? Je? Utaenda kumwomba radhi?" Amani alimmwuliza Dora.

      

Andika katika usemi wa taarifa
"Mbona unamfanyia karaha mwenzako? Je? Utaenda kumwomba radhi?" Amani alimmwuliza Dora.

  

Answers


Bonface
Amani alimwuliza Dora kwa nini alimfanyia mwenzake kahara na kutaka kujua kama angeenda kumwomba radhi
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 15:01


Next: Bainisha kiwakilishi katika sentensi hii.Mimi nitamsaidia.
Previous: Ainisha vielezi katika sentensi ifuatayo: Mkulima mzuri ni yule alimaye vizuri sana kila siku

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions