Ainisha vielezi katika sentensi ifuatayo: Mkulima mzuri ni yule alimaye vizuri sana kila siku

      

Ainisha vielezi katika sentensi ifuatayo:
Mkulima mzuri ni yule alimaye vizuri sana kila siku

  

Answers


Bonface
Vizuri sana-namna halisi
Kila siku-wakati
Shambani-mahali
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 15:03


Next: Andika katika usemi wa taarifa "Mbona unamfanyia karaha mwenzako? Je? Utaenda kumwomba radhi?" Amani alimmwuliza Dora.
Previous: Tofautisha kati ya mofimu na kiambishi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions