Tofautisha kati ya mofimu na kiambishi

      

Tofautisha kati ya mofimu na kiambishi

  

Answers


Bonface
Kiambishi ni kipashio chenye maana ya kisarufi ambacho hupachikwa kwenye mzizi wa neno ili kulipa neno hilo maana kamilifu

Mofimu ni kipashio cha lugha chenye maana.
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 15:07


Next: Ainisha vielezi katika sentensi ifuatayo: Mkulima mzuri ni yule alimaye vizuri sana kila siku
Previous: Tumia neno maskini kama kihisishi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions