Tumia neno maskini kama kihisishi

      

Tumia neno maskini kama kihisishi na Kivumishi

  

Answers


Bonface
Kama Kihisishi
Maskini we!Umeumia sana

Kama Kivumishi
Mwanafunzi maskini anahitaji ufadhili
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 15:10


Next: Tofautisha kati ya mofimu na kiambishi
Previous: Tunga sentensi kubainisha maana tofauti ya maneno haya: Dalili, Dhalili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions