Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Tunga sentensi kubainisha maana tofauti ya maneno haya: Dalili, Dhalili

      

Tunga sentensi kubainisha maana tofauti ya maneno haya:
Dalili
Dhalili

  

Answers


Bonface
Dalili-Dalili ya mvua ni mwawingu
Dhalili. Ogutu alijidhalili alipopatikana akiiba.

Dhalili-dunisha
Dalili-ishara
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 15:15


Next: Tumia neno maskini kama kihisishi
Previous: Vinyambue vitenzi hivi katika hali ya kutendesha:Tota, Ogopa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions