Tota-totesha
Ogopa-ogofya
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 15:17
- Tunga sentensi kubainisha maana tofauti ya maneno haya: Dalili, Dhalili(Solved)
Tunga sentensi kubainisha maana tofauti ya maneno haya:
Dalili
Dhalili
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Tumia neno maskini kama kihisishi(Solved)
Tumia neno maskini kama kihisishi na Kivumishi
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Tofautisha kati ya mofimu na kiambishi(Solved)
Tofautisha kati ya mofimu na kiambishi
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Ainisha vielezi katika sentensi ifuatayo: Mkulima mzuri ni yule alimaye vizuri sana kila siku(Solved)
Ainisha vielezi katika sentensi ifuatayo:
Mkulima mzuri ni yule alimaye vizuri sana kila siku
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Andika katika usemi wa taarifa
"Mbona unamfanyia karaha mwenzako? Je? Utaenda kumwomba radhi?" Amani alimmwuliza Dora.(Solved)
Andika katika usemi wa taarifa
"Mbona unamfanyia karaha mwenzako? Je? Utaenda kumwomba radhi?" Amani alimmwuliza Dora.
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Bainisha kiwakilishi katika sentensi hii.Mimi nitamsaidia.(Solved)
Bainisha kiwakilishi katika sentensi hii.
Mimi nitamsaidia
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Toa mfano wa neno lenye silabi funge(Solved)
Toa mfano wa neno lenye silabi funge
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Ngeli ya U-ZI ina miundo mbalimbali katika umoja na wingi.Onyesha mabadiliko hayo huku ukitoa mifano katika kila mojawapo.(Solved)
Ngeli ya U-ZI ina miundo mbalimbali katika umoja na wingi.Onyesha mabadiliko hayo huku ukitoa mifano katika kila mojawapo.
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Tunga sentensi ukitumia kihusishi 'katika' kuleta dhana ya hali(Solved)
Tunga sentensi ukitumia kihusishi 'katika' kuleta dhana ya hali
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Tumia kitenzi vua katika sentensi kama (i)Kishazi tegemezi (iii)Kishazi huru.(Solved)
Tumia kitenzi vua katika sentensi kama
(i)Kishazi tegemezi
(ii)Kishazi huru.
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Tambua kijalizo katika sentensi ifuatayo: Mwalimu Majisifu alikuwa mwalimu(Solved)
Tambua kijalizo katika sentensi ifuatayo: Mwalimu Majisifu alikuwa mwalimu
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Nakili viashiria vyote vya ngeli ya U-I wingi(Solved)
Nakili viashiria vyote vya ngeli ya U-I wingi
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuatayo kwa msingi wa mistari: Nilimpikia(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa msingi wa mistari: Nilimpikia
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Tunga sentensi moja ukitumia -a- ya uhusiano kuonyesha umilikaji(Solved)
Tunga sentensi moja ukitumia -a- ya uhusiano kuonyesha umilikaji
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Fafanua athari za mutilinguo(Solved)
Fafanua athari za mutilinguo
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Andika mambo matano yanayosababisha mutilinguo(Solved)
Andika mambo matano yanayosababisha mutilinguo
Date posted: December 9, 2017. Answers (1)
- Eleza matumizi ya kiambishi 'ki' kwa kutoa mifano(Solved)
Eleza matumizi ya kiambishi 'ki' kwa kutoa mifano.
Date posted: December 8, 2017. Answers (1)
- "..Bei ni ya leo....bei ni ya leo,,,mbao mbao,mbao mbao.." (i)Taja sajili ya maneno haya (ii)Taja sifa za ligha za sajili uliotaja(Solved)
"...Bei ni ya leo...bei ni ya leo...mbao mbao, mbao mbao.."
i)Taja sajili ya maneno haya
ii)Taja sifa za ligha za sajili uliotaja
Date posted: December 8, 2017. Answers (1)
- Tofautisha kati ya mzizi huru na mzizi tegemezi(Solved)
Tofautisha kati ya mzizi huru na mzizi tegemezi.
Date posted: December 8, 2017. Answers (1)
- Taja sauti mbili aina za ving'ong'o(Solved)
Taja sauti mbili aina za ving'ong'o
Date posted: December 8, 2017. Answers (1)