Tunga sentensi tofauti tofauti ukitumia neno 'haya' kama (i)Kivumishi(ii)Jina(iii) kiwakilishi

      

unga sentensi tofauti tofauti ukitumia neno 'haya' kama
i)Kivumishi
ii)Jina
iii) kiwakilishi

  

Answers


Bonface
Kama kivumishi
Matunda haya yameoza

Kama jina
Aliona haya alipofeli mtihani

Kama kiwakilishi
Haya yanapendeza
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 15:23


Next: Kanusha katika wingi: Uliko ndiko kuliko navyo
Previous: Tunga sentensi ya neno moja yenye vijenzi vifuatavyo (i)kikanushi (ii)Kiima katika nafsi ya tatu umoja (iii)Mtendewa katika nafsi ya tatu umojaiv)wakati uliopitav)mzizi wa kitenzivi)kauli ya kutendea

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions