Tunga sentensi ukitumia kirejeshi kisisitizi cha wastani katika ngeli ya KU-KU

      

Tunga sentensi ukitumia kirejeshi kisisitizi cha wastani katika ngeli ya KU-KU

  

Answers


Bonface
Kuko huko
Kwa mfano
Mahali kuko huko kunapendeza

Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 15:31


Next: Tunga sentensi ya neno moja yenye vijenzi vifuatavyo (i)kikanushi (ii)Kiima katika nafsi ya tatu umoja (iii)Mtendewa katika nafsi ya tatu umojaiv)wakati uliopitav)mzizi wa kitenzivi)kauli ya kutendea
Previous: Taja sauti mbili ghuna zinazotamkika kwenye kaakaa laini

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions