Eleza maana tatu za sentensi hii: Wanafunzi wengine wamefika.

      

Eleza maana tatu za sentensi hii: Wanafunzi wengine wamefika.

  

Answers


ESTHER
Kivumishi -ingine hutumika Kwa njia tatu:
1. Kuonyesha zaidi ya. Wanafunzi zaidi wamefika.
2.kuonyesha baadhi ya. Baadhi ya Wanafunzi wamefika.
3. Kuonyesha tofauti na. Wanafunzi tofauti wamefika.
ESTHER STEVE answered the question on December 9, 2017 at 22:39


Next:  What is photoelectric effect?
Previous: Ainisha: Hakikusomeka

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions