Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Ainisha: Hakikusomeka

      

Ainisha: Hakikusomeka

  

Answers


ESTHER
Ha-kiambishi cha ukanusho
Ki- kiambishi kiwakilishi cha ngeli
Ku- kiambishi kiwakilishi cha wakati uliopita, hali ya kukanusha.
Som- mzizi
ek- kauli
a- kiishio
ESTHER STEVE answered the question on December 9, 2017 at 23:34


Next: Eleza maana tatu za sentensi hii: Wanafunzi wengine wamefika.
Previous: Which type of tissue is most likely to repair itself if injured?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions