Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Umuhimu wa shirikina,lakabu,ulumbi katika jamii

      

Umuhimu wa shirikina,lakabu,ulumbi katika jamii

  

Answers


Andrew
Huendeleza lugha, mfano ulumbi.
Huelimisha kuhusu mila na tamaduni za jamii.
Hufurahisha na kuburudisha.
Huhimiza na kuchochea maadili mema katika jamii.
Hukuza ujuzi na ari ya kuzungumza mbele ya hadhira.
Hutumika kutambulisha jamii husika.

Andreaz answered the question on December 14, 2017 at 13:26


Next: Explain demerits of government involvement in business activities.
Previous:  List three types of individual land tenure systems.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions