Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza aina sita za sentensi kiuamilifu ukizingatia Kiimbo

      

Eleza aina sita za sentensi kiuamilifu ukizingatia Kiimbo.

  

Answers


ESTHER
1. Sentensi ya taarifa. Baba amefika.
2. Sentensi hisishi. Baba amefika!
3. Sentensi amrishi. Funga mlango!
4. Sentensi ya ombi/rai. Tafadhali funga mlango.
5. Sentensi agizi. Andika insha ya methali.
6.sentensi ulizi. Baba amefika?
ESTHER STEVE answered the question on December 13, 2017 at 04:11


Next: Differentiate the following: Intervening and moderating variables
Previous: Eleza tofauti baina ya kitenzi kishirikishi kikamilifu na kipungufu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions