Eleza tofauti baina ya kitenzi kishirikishi kikamilifu na kipungufu

      

Eleza tofauti baina ya kitenzi kishirikishi kikamilifu na kipungufu.

  

Answers


ESTHER
Kitenzi kishirikishi kikamilifu huwa na kiambishi cha nafsi/ngeli na kiambishi cha wakati.
Kitenzi kishirikishi kipungufu hakina kiambishi cha wakati.
Babu ni mkulima. Ni, ni kipungufu
Babu alikuwa mkulima. Alikuwa, ni kikamilifu.
ESTHER STEVE answered the question on December 13, 2017 at 04:17


Next: Eleza aina sita za sentensi kiuamilifu ukizingatia Kiimbo
Previous: What is the difference between tropic movements and nastic movements?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions