Jadili dhamira ya mwandishi katika Tamthilia ya Kigogo

      

Jadili dhamira ya mwandishi katika Tamthilia ya Kigogo.

  

Answers


ESTHER
Dhamira ni lengo kuu la mwandishi linalompa ari ya kuandika Kazi ya fasihi. Mwandishi wa Kigogo amedhamiria kukemea uongozi mbaya unaoendelezwa na mabwana weusi kama vile Majoka. Ameweka wazi uozo wanaouendeleza katika harakati za kujilimbikizia mali. Mwandishi pia amedhamiria kutukuza mwanamke ambaye kwa kipindi kirefu amesalia nyuma katika vita vya ukombozi. Hapa mwanamke amepewa kipao mbele na hivyo kuvunja taasubi za kiume katika jamii.

ESTHER STEVE answered the question on December 14, 2017 at 13:11


Next: Name two Fissure eruption features
Previous: Eleza matumizi matatu ya kiambishi -po

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions