Eleza matumizi matatu ya kiambishi -po

      

Eleza matumizi matatu ya kiambishi -po.

  

Answers


ESTHER
1. Kuonyesha wakati maalum
Alipofika tulifurahi
2. Kuonyesha mahali
Alipolala pana siafu
2 . Kuonyesha wakati usiodhihirika
Mtoto aliapo hupewa maziwa.
ESTHER STEVE answered the question on December 14, 2017 at 13:15


Next: Jadili dhamira ya mwandishi katika Tamthilia ya Kigogo
Previous: What is freeware?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions