Taja nadharia zozote mbili zinazohusiana na chimbuko la lugha ya kiswahili

      

Taja nadharia zozote mbili zinazohusiana na chimbuko la lugha ya kiswahili

  

Answers


Christine
-Chanzo cha Kiswahili ni Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo

-Kiswahili ni tokeo la mwingiliano baina ya waafrika wa pwani na waarabu.

-Kiswahili kilitoka uraibuni

-Kiswahili ni lugha ya kibantu au

-Kiswahili kilitokea pwani ya Kenya eneo lililojulikana kama shungwaya,katika mpaka wa Kenya na Somali kutokana na jamii ya wangozi
Christine4 answered the question on December 23, 2017 at 07:37


Next: What is a policy in insurance?
Previous: Kwa kutolea mifano,eleza sifa zozote nne za kimsingi za sajili inayoweza kutumika darasani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions