Kwa kutolea mifano,eleza sifa zozote nne za kimsingi za sajili inayoweza kutumika darasani

      

Kwa kutolea mifano,eleza sifa zozote nne za kimsingi za sajili inayoweza kutumika darasani

  

Answers


Andrew
(a) Matumizi ya msamiati maalum
mfano- mwanafunzi, daftari, mtihani.
(b) Lugha rasmi hutumiwa
mfano- Kiswahili ama Kiingereza.
(c) Matumizi ya lugha iliyojaa heshima
mfano- samahani mwalimu, karibu darasani.
(d) Aghalabu hutumia lugha ya maelezo kufafanua funzo
mfano- Leo tunajifunza kuhusu Tasfida. Tasfida ni utumiaji wa maneno yanayoashiria adabu na heshima ili kuwasilisha dhana ambazo hukera zisemwapo.
Andreaz answered the question on December 23, 2017 at 04:39


Next: Taja nadharia zozote mbili zinazohusiana na chimbuko la lugha ya kiswahili
Previous: Differentiate between fishing and fisheries?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions