Taja aina mbili za mofimu na kwa kila toa mfano

      

Taja aina mbili za mofimu na kwa kila toa mfano

  

Answers


kevin
Mofimo huru na mofimu tegemezi.
Mofimu huru mfano ni kama Dada,baba,ndoa na nyumba.
Mofimu tegemezi mfano ni kama mtangazaji, wakulima.
Kwa kawaida huwa na viambishi nomino pekee haitoi maana kamili kama mofimu huru
sande kevin answered the question on December 29, 2017 at 09:12


Next: What is the scientific study of cells?
Previous: Give reason why Jesus healed the sick

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions