Eleza hatua ambazo mwanamke amechukua kujikomboa

      

Eleza hatua ambazo mwanamke amechukua kujikomboa

  

Answers


Tracy
Amefanya bidii kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wake.
Amejitoza na kufaulu kwa taaluma nyingi zikiwemo zinazojulikana Kama za kiume.
Amefanya bidii kuikimu familia na jamii kwa jumla.
Amejistiri na kujibeba kiheshima.
Amejitokeza na kuchukua nafasi za uongozi.
Cherem answered the question on January 3, 2018 at 14:27


Next: What are the principal organs of the United Nations?
Previous: With the use of a simple sketch illustrate the different types of indentations.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions