Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Sababu za kubadilisha msimbo na athari zake

      

Sababu za kubadilisha msimbo na athari zake.

  

Answers


Daniel
Sababu za kubadili msimbo

Kuonyesha uwezo wa kuweza kutumia lugha mbili.


Kukosa msamiati mwafaka wa kutumia .


Kuzoea kuzungumza zaidi ya lugha moja.


Kufahamu zaidi ya lugha moja.


Athari zake

Kukosa lugha moja mwafaka ya kutumia.

Hadhira kukosa kufasili ujunbe kama ulivyokusudiwa.


Gitucho9 answered the question on February 2, 2018 at 14:07


Next: List down three characteristics of sub phylum Kinetoplastida
Previous: Name two varieties of coffee grown in Western parts of Kenya.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions