Taja mambo yoyote yanayoathiri matumizi ya lugha.

      

Taja mambo yoyote yanayoathiri matumizi ya lugha.

  

Answers


johnson
Uana, jinsia, mazingira, hali ya mtu, mada / muktadha, elimu, dini, mila na utamaduni, kazi na taaluma (cheo), umri, uhusiano, uzoefu au tajiriba ya wanaotumia lugha, utabaka, malezi, madhumuni, njia za mawasiliano, lugha azijuazo mtu.
johnson mwenjera answered the question on March 4, 2018 at 15:27


Next: Nini maana ya Isimu Jamii?
Previous: Eleza umuhimu wa sajili.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions