Taja lahaja za Kiswahili na mahali zinakozungumzwa.

      

Taja lahaja za Kiswahili na mahali zinakozungumzwa.

  

Answers


johnson
Lahaja mahali

-Kipate pate
-Kiamu lamu, shela na pate
-Kimvita Mombasav / Mvita
-Kimrima Dar-es-Salaam
-Kipemba pemba
-Kiunguja Unguja
-Kijomvu kijiji cha Jomvu kuu na
maunguja.
johnson mwenjera answered the question on March 4, 2018 at 15:32


Next: Eleza umuhimu wa sajili.
Previous: How did the death of Adika form a foundation of change in Kafira?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions