Toa maana mbili ya neno kinyonyoke.

      

Toa maana mbili ya neno kinyonyoke.

  

Answers


Dickson
i)Kinyonyoke ni mtu ambaye nywele zake za kichwa zimesimama tisti.
ii)kinyonyoke ni kuku ambaye hana manyoya shingoni.
0726347746 answered the question on March 20, 2018 at 04:36


Next: Why is sociology known as a science?
Previous: What is the purpose of bacterial endospore?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions