Kupiganish-ia.
franco crick answered the question on March 27, 2018 at 05:09
- Je, ni sababu zipi zilizopelekea kusanifishwa kwa kiswahili?(Solved)
Je, ni sababu zipi zilizopelekea kusanifishwa kwa kiswahili?
Date posted: March 23, 2018. Answers (1)
- kiswahili ni lugha ya kibantu. Jadili.(Solved)
Asili ya lugha ya Kiswahili
Date posted: March 22, 2018. Answers (1)
- Toa maana mbili ya neno kinyonyoke.(Solved)
Toa maana mbili ya neno kinyonyoke.
Date posted: March 20, 2018. Answers (1)
- Taja lahaja za Kiswahili na mahali zinakozungumzwa. (Solved)
Taja lahaja za Kiswahili na mahali zinakozungumzwa.
Date posted: March 4, 2018. Answers (1)
- Eleza umuhimu wa sajili. (Solved)
Eleza umuhimu wa sajili.
Date posted: March 4, 2018. Answers (1)
- Taja mambo yoyote yanayoathiri matumizi ya lugha. (Solved)
Taja mambo yoyote yanayoathiri matumizi ya lugha.
Date posted: March 4, 2018. Answers (1)
- Nini maana ya Isimu Jamii? (Solved)
Nini maana ya Isimu Jamii?
Date posted: March 4, 2018. Answers (1)
- a) Badilisha sentensi ifuatayo iwe katika hali ya kuamuru katika wingi.
Njoo hapa.
b)Tunga sentensi yenye kitenzi kishirikishi kipungufu.
c) Yakinisha sentensi ifuatayo.
Asingepigiwa kura, asingekuwa rais wa Kenya.
d)...(Solved)
a) Badilisha sentensi ifuatayo iwe katika hali ya kuamuru katika wingi.
Njoo hapa.
b)Tunga sentensi yenye kitenzi kishirikishi kipungufu.
c) Yakinisha sentensi ifuatayo.
Asingepigiwa kura, asingekuwa rais wa Kenya.
d) Unganisha sentensi zifuatazo kwa kutumia kiunganishi mwafaka.
Mtoto alikula sana.
Mtoto hakushiba.
e)Tunga sentensi moja ukitumia kihisishi na nomino maalum.
f)Taja aina mbili za mofimu na utolee mfano mmoja mmoja.
g) Tumia amba rejeshi katika sentensi ifuatayo:
Mchezaji ninayempenda ni Messi.
h)Taja sauti mbili za nazali.
i) Andika katika msemo wa taarifa.
Naapa ya kwamba nitatumikia wananchi wa Kenya na nitakuwa mwaminifu, Rais Mteule alisema.
Date posted: March 4, 2018. Answers (1)
- a) Onyesha vishazi katika sentensi ifuatayo.
Uchaguzi uliofanywa nchini Kenya ulikuwa wa amani.
b) Bainisha aina za shamirisho katika sentensi:
Shule nzuri ilijengewa wanafunzi kwa matofali.
c) Eleza...(Solved)
a) Onyesha vishazi katika sentensi ifuatayo.
Uchaguzi uliofanywa nchini Kenya ulikuwa wa amani.
b) Bainisha aina za shamirisho katika sentensi:
Shule nzuri ilijengewa wanafunzi kwa matofali.
c) Eleza sifa mbili za sentensi ambatano na utoe mfano mmoja.
d) Unda nomino kutokana na vitenzi vifuatavyo:
-Tafakari:.
-Sujudu:
e) Eleza maana ya chagizo na utunge sentensi moja kuonyesha maana yake.
Date posted: March 4, 2018. Answers (1)
- (i) Eleza matumizi tofauti ya kiambishi ni katika sentensi ifuatayo. Nitasoma kwa bidii shuleni. (ii) Tunga sentensi ukitumia neno gani kama kiwakilishi na kama kivumishi. (iii)Tunga sentensi ukitumia...(Solved)
i) Eleza matumizi tofauti ya kiambishi ni katika sentensi ifuatayo.
Nitasoma kwa bidii shuleni.
ii) Tunga sentensi ukitumia neno gani kama kiwakilishi na kama kivumishi.
iii)Tunga sentensi ukitumia kitenzi la’ katika hali ya kutendeshea
Date posted: March 3, 2018. Answers (1)
- Jadili misingi ambayo inaweza kutumika kurekebisha makosa ya kimatamshi katika ujifunzaji wa lugha ya pili(Solved)
Swali hili linahitaji kubainisha mbinu ambazo mwalimu atazitumia anapofunza ili kumrekebisha mwanafunzi asiyeweza kutamka lugha ya pili ipasavyo.
Date posted: March 2, 2018. Answers (1)
- Misingi inayotumika kurekebisha makosa ya kimatamshi katika ujifunzaji wa lugha ya pili.(Solved)
Misingi inayotumika kurekebisha makosa ya kimatamshi katika ujifunzaji wa lugha ya pili.
Date posted: March 2, 2018. Answers (1)
- Eleza dhima ya nadharia(Solved)
Eleza dhima ya nadharia
Date posted: March 2, 2018. Answers (1)
- Jadili dhana ya "Langue" na "parole"(Solved)
Jadili dhana ya "Langue" na "parole"
Date posted: March 2, 2018. Answers (1)
- Tafsiri kwa kiswahili
-base
-tenor
-soprano
-Alto(Solved)
Tafsiri kwa kiswahili
-base
-tenor
-soprano
-Alto
Date posted: March 2, 2018. Answers (1)
- Mighani ni nini?(Solved)
Mighani ni nini?
Date posted: March 2, 2018. Answers (1)
- Unda neno lenye sauti mwambatano KIK(Solved)
Unda neno lenye sauti mwambatano KIK.
Date posted: February 27, 2018. Answers (1)
- Katika jamii ya kisasa ndoa imo atharini. Kwa kutoa mfano katika tamthlia ya kigogo tetea kauli hii.(Solved)
Katika jamii ya kisasa ndoa imo atharini. Kwa kutoa mfano katika tamthlia ya kigogo tetea kauli hii.
Date posted: February 27, 2018. Answers (1)
- Fafanua sifa Za Majoka Bin Marara Katika Kigogo(Solved)
Fafanua sifa Za Majoka Bin Marara Katika Kigogo.
Date posted: February 26, 2018. Answers (1)
- Fafanua Sifa Za Boza Katika Kigogo(Solved)
Fafanua Sifa Za Boza Katika Kigogo.
Date posted: February 26, 2018. Answers (1)