Mawasiliano ni nini?

      

Mawasiliano ni nini?

  

Answers


mary
Mawasiliano ni mchakato wa kupashana ujumbe, hisia na maoni kati ya binadamu kwa kutumia ishara za lugha yaani ishara tamkwa na ishara vitendo.
maryann1 answered the question on March 29, 2018 at 11:16


Next: Why are people with blood group 0 universal donors?
Previous: Uakifishaji ni nini?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions