Uakifishaji ni nini?

      

Uakifishaji ni nini?

  

Answers


mary
Uakifishaji ni matumizi ya alama mbali mbali katika fungu la maneno ili kuweza kuelewa maana. Alama hizi ni pamoja na: alama ya hisi, kitone, koma, paradesi, herufi kubwa na zinginezo.
maryann1 answered the question on March 29, 2018 at 11:28


Next: Mawasiliano ni nini?
Previous: Taja na ueleze aina mbili za usikilizaji

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions