Eleza umuhimu wa hadithi

      

Eleza umuhimu wa hadithi.

  

Answers


vincent

Umuhimu wa Hadithi
1. Kuhifadhi au kurithisha mali ya jamii
2. Kuunganisha na kukuza ushirikiano miongoni mwa jamii
3. Kuelemisha au kutoa mafunzo kuhusu mambo fulani
4. Kukuza maadili mema
5. Kuonya, kuelekeza, kuhimiza na kunasihi
6. Kuburudisha hadhira. Hadithi nyingi huwa na visa vya kusisimua na kuburudisha.
7. Kupitisha muda haswa watoto wanaposubiri chakula kiive.
vindori answered the question on April 9, 2018 at 11:40


Next: Other than MS Excel, what other spreadsheet packages are available in the market?
Previous: What are the advantages of electronic spreadsheet over the traditional ledger book?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions