Fafanua aina zozote kumi za migogoro ijitokezayo katika tamthilia ya kigogo

      

Fafanua aina zozote kumi za migogoro ijitokezayo katika tamthilia ya kigogo

  

Answers


dantanoquido
Kuna migogoro kadhaa katika kadhaa katika tamthilia ya kigogo.
Kwanza kuna migogoro kati ya wananchi na polisi. Polisi wanawapiga na kuwajeruhi wananchi wasio na hatia.
Pili kuna migogoro kati ya polisi na viongozi wao. Viongozi wanawatisha polisi.
Naye kingi mkuu wa wanapolisi anatishiwa kufutwa kazi.
Kuna migogoro kati ya wananchi na viongozi wao.
Majoka anawatusi wancanchi waliojataa kuenda katika sherehe zilizoandaliwa katika uwanja wa wazalendo.
Kuna migogoro kat ya viongozi na vituo vya habari.
Majoka anafunga vituo vyote vya habari baada ya kupeperusha mbashara mgomo uliongozwa na tunu.
Kuna migogoro kati ya viongozi na wapinzani wao.
Tunaona jinsi majoka anapinga kuvamiwa kwa tunu wakiwa na kenga.
Majoka pia anapanga mauaji ya jabali babake tunu.
Kuna mgogoro unaozuka kati ya kiongozi na mshauri wake.
Kenga anapomgeuka majoka anaitwa kunguru.

AMA

mgogoro ni hali ya kutoelewana au kutoafikiana baina ya pande mbili. katika tamthilia ya Kigogo, migogoro ifuatayo imejitokea:
1. migogoro ya kitabaka ambapo tabaka la juu linadhulumu watu wa tabaka la chini. watu wa tabaka la juu wana maisha mazuri kama vile Majoka huku wa tabaka la chini wakimia kama akina Hashima. jambo hili linaleta kutoelewana baina ya matabaka haya.
2. migogoro ya viongozi na wanachi. viongozi wanaendeleza utawala wa kidhalimu, ni fisadi na hawajali raia jambo linalosababisha ktoelewana baina yao. wanachi hata wanaanza harakati a kjikomboa mikononi mwao.
3. migogoro ya wanachi na askari. askari na raia hawaelewani. kila raia wanapogoma, askari wanafurusha na kuwatesa
4. migogoro ya wafadhili na viongozi. Majoka hafurahishwi na wafadhili wanaosaidia akina Tunu na anawataka warudi kwao. wafadhili hawa nao wanapinga utawala wa Majoka.
5. migogoro ya viongozi na vyombo vya habari. Majoka anapendelea vituo vinavyoeneza propaganda na kupinga vinavyoelea ukweli wa mambo
6.migogoro baina ya watetezi wa haki na vibaraka. akina Tunu na Sudi hawaelewani kabisa na vibaraka wa Majoka kama vile Ngurumo na Boza.
dantanoquido answered the question on April 24, 2018 at 16:36


Next: What is 'Worksheet formatting?'
Previous: What are the golden rules of formatting?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions