Taja Vipengele muhimu Katika uwasilishaji wa fasihi simulizi

      

Taja Vipengele muhimu Katika uwasilishaji wa fasihi simulizi.

  

Answers


Mitch
1.Fanani/msanii.
2.Hadhira.
3.kipera cha fasihi simulizi.
4.Mandhari/mazingira.
5.Shughuli ya kijamii ambamo utungo huibuka.
6.Lugha.
Mitch_254 answered the question on April 12, 2018 at 06:50


Next: State any differences between x-rays and cathode rays.
Previous: Calculate the energy of a photon of light of frequency 5.0x1014Hz in (a) joules (b) electron-volt.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions