1. Huburudisha, huliwaza na kufurahisha Jamii Kama vile nyimbo Za kazi huimbwa kuwaondolea watu uchovu wakati wa kazi.
2. Huhifadhi historia ya Jamii kwa vile hupokezwa kwa mdomo kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
3. Hukuza uwezo wa kufikiri na kudadisi hasa katika tanzu Kama mafumbo,vitendawili na methali.
4. Hukuza lugha kupitia vipera Kama vile ulumbi,malumbano ya utani na misimu na utambaji wa hadithi.
5. Fasihi simulizi huadilisha kwa vile katika hadithi matendo mabaya hukashifiwa.
6. Hutambulisha jamii na utamaduni wake kupitia tanzu Kama vile visasili, miviga na nyimbo.
7. Fasihi simulizi ni nguzo ya kuunganisha watu kwa vile uwasilishaji wa fasihi simulizi huhitaji uhusika wa watu hivyo umoja hujengeka.
8. Hukuza uzalendo kwa vile watu wanaposhiriki katika miviga ya jando, harusi na matambiko,wao hujitambulisha na kuionea fahari jamii yao .
Mitch_254 answered the question on April 12, 2018 at 07:20
- Taja Vipengele muhimu Katika uwasilishaji wa fasihi simulizi(Solved)
Taja Vipengele muhimu Katika uwasilishaji wa fasihi simulizi.
Date posted: April 12, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya semi
(Solved)
Eleza maana ya semi
Date posted: April 11, 2018. Answers (1)
- Eleza maana ya Ngomezi(Solved)
Eleza maana ya Ngomezi.
Date posted: April 11, 2018. Answers (1)
- Fafanua aina zozote kumi za migogoro ijitokezayo katika tamthilia ya kigogo(Solved)
Fafanua aina zozote kumi za migogoro ijitokezayo katika tamthilia ya kigogo
Date posted: April 10, 2018. Answers (1)
- Eleza umuhimu wa hadithi(Solved)
Eleza umuhimu wa hadithi.
Date posted: April 9, 2018. Answers (1)
- Maudhui ya elimu katika Kidagaa(Solved)
Maudhui ya elimu katika Kidagaa.
Date posted: April 8, 2018. Answers (1)
- Fafanua miundo yoyote saba ya silabi za Kiswahili (Solved)
Fafanua miundo yoyote saba ya silabi za Kiswahili
Date posted: April 7, 2018. Answers (1)
- Jadili maudhui ya tamaa katika tamthilia ya Kigogo(Solved)
Jadili maudhui ya tamaa katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: April 6, 2018. Answers (1)
- Taja na ueleze aina mbili za usikilizaji(Solved)
Taja na ueleze aina mbili za usikilizaji.
Date posted: March 29, 2018. Answers (1)
- Uakifishaji ni nini?(Solved)
Uakifishaji ni nini?
Date posted: March 29, 2018. Answers (1)
- Mawasiliano ni nini?(Solved)
Mawasiliano ni nini?
Date posted: March 29, 2018. Answers (1)
- Misimu ni nini?(Solved)
Misimu ni nini?
Date posted: March 27, 2018. Answers (1)
- Tenga viambishi tamati katika neno: kupiganishia(Solved)
Tenga viambishi tamati katika neno: kupiganishia
Date posted: March 26, 2018. Answers (1)
- Je, ni sababu zipi zilizopelekea kusanifishwa kwa kiswahili?(Solved)
Je, ni sababu zipi zilizopelekea kusanifishwa kwa kiswahili?
Date posted: March 23, 2018. Answers (1)
- kiswahili ni lugha ya kibantu. Jadili.(Solved)
Asili ya lugha ya Kiswahili
Date posted: March 22, 2018. Answers (1)
- Toa maana mbili ya neno kinyonyoke.(Solved)
Toa maana mbili ya neno kinyonyoke.
Date posted: March 20, 2018. Answers (1)
- Taja lahaja za Kiswahili na mahali zinakozungumzwa. (Solved)
Taja lahaja za Kiswahili na mahali zinakozungumzwa.
Date posted: March 4, 2018. Answers (1)
- Eleza umuhimu wa sajili. (Solved)
Eleza umuhimu wa sajili.
Date posted: March 4, 2018. Answers (1)
- Taja mambo yoyote yanayoathiri matumizi ya lugha. (Solved)
Taja mambo yoyote yanayoathiri matumizi ya lugha.
Date posted: March 4, 2018. Answers (1)
- Nini maana ya Isimu Jamii? (Solved)
Nini maana ya Isimu Jamii?
Date posted: March 4, 2018. Answers (1)