Taja aina za wahusika katika fasihi simulizi.

      

Taja aina za wahusika katika fasihi simulizi.

  

Answers


Mitch
1. Fanani.
2. Hadhira.
3. Wahusika wanyama.
4. Wahusika binadamu.
5. Wahusika mazimwi.
6. Wahusika vitu (viumbe visivyo hai).
7. Wahusika mazimu.
8. Wahusika miungu.
Mitch_254 answered the question on April 12, 2018 at 07:37


Next: What is the meaning and the use of IS Null operator in queries?
Previous: What is the meaning and use of IS Not Null operator in queries?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions