Eleza maana ya neno ulumbi

      

Eleza maana ya neno ulumbi.

  

Answers


Ladesha
Huu ni uhodari wa kutumia lugha kwa ufundi wa kipekee, ni utangulizi wa lugha kwa mvuto na ufasaha. Ulumbi huwezesha mtu kulieleza jambo la kawaida kwa namna ambavyo linaonekana kuwa geni kabisa na kuwashawishi watu kulikubali au kulipenda.

AMA

Ulumbi ni uwezo wa kipekee wa kuzungumza mbele ya hadhira.
Ladesha answered the question on April 18, 2018 at 18:18


Next: What is the difference between multiprogramming and multiprocessing?
Previous: Discuss theme of tradition as manifested in Blossoms of the Savannah?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions