Eleza sababu za ufaraguzi kwa fasihi simulizi

      

Eleza sababu za ufaraguzi kwa fasihi simulizi.

  

Answers


ESTHER
1. Kutia ladha Kazi ya fasihi
2. Kuweza kulenga viwango tofauti vya hadhira
3. Ili kujikita katika tamaduni za jamii lengwa. Kwa mfano huenda utahitaji kuondoa maneno fulani ambayo kuyataja ni mwiko
4. Kwa sababu ya muda. Huenda una muda mfupi ukahitaji kufupisha Kazi yako
5. Kukidhi mabadiliko ya kijamii na kiteknolojia.
ESTHER STEVE answered the question on April 20, 2018 at 05:35


Next: Define the term energy as used in Geography.
Previous: Tumia Neno Kimya Katika Sentensi Kama: (1)Kielezi (2) Kihisishi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions