Take tamathali za usemi zinazotumika katika methali

  

Answers


ESTHER
1. Tashbihi. Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza
2. Istiara. Mimi ni nyumba ya udongo sihimili vishindo
3. Balagha. Pilipili usiyoila yakuwashiani?
4. Kinaya. Hindi ndiko kwenye nguo naivas waendao uchi wapo
5. Takriri. Haba na haba hujaza kibaba
6. Tashihisi . Majuto ni mjukuu huja baadaye

ESTHER STEVE answered the question on April 19, 2018 at 19:19


Next: Eleza shinda zinazokumba lugha ya kiswahili katika jamii
Previous: What is the difference between multiprocessing and distributed processing using the concepts of cost and location covered?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions