Manufaa ya lahaja za Kiswahili

      

Manufaa ya lahaja za Kiswahili.

  

Answers


kennedy
Lahaja ni vijilugha mbalimbali vya lugha moja.
Lahaja ina manufaa kama haya katika kiswahili
a)Husaidia katika usanifishaji wa lugha.
b)Husaidia katika kukuza msamiati ili tuwe na msamiati pana

6965 answered the question on May 1, 2018 at 09:51


Next: Apart from the seven folks scheme, name other hydroelectric power projects in Kenya.
Previous: State the physical factors that have favoured the development of HEP projects in both Kenya and Uganda.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions