Eleza jinsi ya kuandika ripoti ya utafiti

      

Eleza jinsi ya kuandika ripoti ya utafiti.

  

Answers


Hydah
1.Utangulizi.
Malengo ya utafiti
2.Methodolojia ya utafiti
-mbinu za utafiti
-Maeneo ya utafiti
-Sampuli ya wasirirki wa utafiti
-Zana za kukusanya data
-Uchambuzi wa data

3.Matokeo ya utafiti
4.Muhtasari
5.Hitimisho
6.Mapendekezo
7.Nafasi ya sahihi ya mwenyekiti na sekretari
hydah kerubo answered the question on April 29, 2018 at 09:30


Next: A mixture contains iron(III)chloride, zinc(II)oxide and potassium chloride. Describe how each of the substance can be obtained from the mixture
Previous: Explain the role of Government of Kenya in securing freedom of association in line with ILO Conventions

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions