Taja matumizi matatu ya kiambishi KI

      

Taja matumizi matatu ya kiambishi KI

  

Answers


ESTHER
1. Kuonyesha kutowezekana Kwa Jambo
Hiki hakisomeki.
2. Kuonyesha kuendelea Kwa Jambo lingine lilipotokea.
Alikuwa akila wageni walipofika.
3. Kinda vielezi vya namna mfanano.
Alipigwa kinyama
4. Kuonyesha udogo
Kijitu kimefika
5. Kiambishi cha ngeli.
Choo kimechimbwa

ESTHER STEVE answered the question on April 24, 2018 at 13:12


Next: Explain five duties of a landlord in a tenancy agreement.
Previous: Discuss the limitation of Islamic Law as a source of Law.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions