Taja sifa Tano bayana Kati ya pijini na Krioli

      

Taja sifa Tano bayana Kati ya pijini na Krioli

  

Answers


ESTHER
1. Kipijini kina muundo hafifu ilhali Krioli una muundo thabiti wa kisarufi
2. Msamiati WA pijini ni imara uliokita kuliko WA Krioli.
3. Pijini una fonimu chache ilhali Krioli una fonimu nyingi
4. Pijini haina wazawa ilhali Krioli una wazawa wake
5. Pijini haina matumizi mapana ilhali Krioli ina matumizi mapana
ESTHER STEVE answered the question on April 24, 2018 at 14:15


Next: What causes cancer?
Previous: What is an Isotope?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions