Fafanua aina za nyimbo zifuatazo bembelezi, za sifa, za mapenzi

      

Fafanua aina za nyimbo zifuatazo bembelezi, za sifa, za mapenzi.

  

Answers


edwin
•Bembelezi- Ni aina za nyimbo ambazo hutumika na wazazi au walezi kumtuliza mtoto anapolia.
•Nyimbo za sifa - Ujulikana pia kama vile sifo. Ni nyimbo ambazo hutumika kumsifia mtu au kitu fulani.
•Nyimbo za mapenzi - Ni nyimbo ambazo hutumika kati ya wapenzi. Huwa yana maneno matamu ya kumshawishi mwenzio unayempenda
Edwinnyongesa8 answered the question on April 26, 2018 at 10:59


Next: State the Golden Rule Interface of Design
Previous: Discuss the themes in "Almost Home" by Barry McKinley

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions