Eleza umuhimu wa ngomezi.

      

Eleza umuhimu wa ngomezi

  

Answers


Edith
- Hutoa taarifa kwa njia nyepesi na kuwafahamisha wanajamii kuhusu matukio fulani kama vile sherehe, mkutano.
- Hutumika kutahadharisha watu.
- Hutumika kutoa matangazo rasmi.
- Ni njia ya kudumisha utamaduni.
- Ni njia ya kudhihirisha ufundi wa jamii.
eddynightsy answered the question on April 27, 2018 at 08:31


Next: (a) Eleza maana ya mivigo na inakotumika (b) Eleza sifa za miviga (c) Onyesha umuhimu wa miviga.
Previous: Eleza tofauti kati ya malumbano ya utani na mawaidha

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions