(a) Vijana huchangia pakubwa katika kuhujumu maendeleo ya lugha ya kiswahili. Jadili ukweli wa kauli hii ukitoa mifano miwili. (Alama 4) (b) Pendekeza njia tatu ambazo kwazo vijana...

      

(a) Vijana huchangia pakubwa katika kuhujumu maendeleo ya lugha ya kiswahili. Jadili ukweli wa kauli hii ukitoa mifano miwili.
(b) Pendekeza njia tatu ambazo kwazo vijana wanaweza kushiriki katika kuikuza lugha ya kiswahili.

  

Answers


ESTHER
(a) - Vijana hutumia sheng’ katika mazungumzo yao
- Wanapendelea kutumia lugha zao za kwanza/ mama.
- Wanapochangia mijadala katika vyombo vya habari wengine wao huathirika
- Mawasiliano ya barua na arafa za simu huchangia pakubwa katika kuhujumu kiswahili kwa kuwa huwa si sanifu.
- Katika maigizo kama kwenye televisheni wengi wao hutumia lugha isiyo sanifu.
(b)

- Washiriki katika tamasha za muziki
- Kuandaliwa mashindano ya uandishi wa insha
- Mashindano katika vyombo vya habari (redio) sanaa ya kiswahili
- Kushiriki katika makongamano ya washika dau
- Kuhimizwa kuandika majarida, hadithi na mashairi
- Matumizi ya lugha sanifu katika mazungumzo
- Kampeni za vijana kwa vijana ili waweze kuimarisha na kukuza lugha ya Kiswahili.
ESTHER STEVE answered the question on April 28, 2018 at 15:48


Next: 1. Eleza maana ya istilahi hii: Usanifishaji 2. Eleza mambo manne yaliyochangia maenezi ya kiswahili kabla ya uhuru.
Previous: (a) Nini maana ya kufa kwa lugha. (b) Eleza sababu zozote tano zinazochangia kufa kwa lugha

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions