Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
(i) Ni lugha ya mazishi / maziko / maombolezi.
(ii) Sifa za lugha hii
(a) Matumizi ya lugha ya kuliwaza. Mfano. Pole.
(b) Sauti huwa ya chini na nyenyekevu.
(c ) Matumizi ya lugha ya kurejelea yaliyopita hasa sifa nzuri za marehemu.
(d) Matumizi ya lugha ya majonzi / huzuni mf. Masikitiko, kuomboleza.
(e) Matumizi ya lugha ya matumaini.
(f) Msamiati maalum wa maombolezi mf. Marehemu mwendazake, hayati, jeneza, kaburi.
ESTHER STEVE answered the question on April 28, 2018 at 15:51
- (a) Nini maana ya kufa kwa lugha. (b) Eleza sababu zozote tano zinazochangia kufa kwa lugha(Solved)
(a) Nini maana ya kufa kwa lugha.
(b) Eleza sababu zozote tano zinazochangia kufa kwa lugha.
(c) Taja aina tatu za makosa ya lugha.
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)
- (a) Vijana huchangia pakubwa katika kuhujumu maendeleo ya lugha ya kiswahili. Jadili ukweli wa kauli hii ukitoa mifano miwili. (Alama 4) (b) Pendekeza njia tatu ambazo kwazo vijana...(Solved)
(a) Vijana huchangia pakubwa katika kuhujumu maendeleo ya lugha ya kiswahili. Jadili ukweli wa kauli hii ukitoa mifano miwili.
(b) Pendekeza njia tatu ambazo kwazo vijana wanaweza kushiriki katika kuikuza lugha ya kiswahili.
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)
- 1. Eleza maana ya istilahi hii: Usanifishaji 2. Eleza mambo manne yaliyochangia maenezi ya kiswahili kabla ya uhuru.(Solved)
1. Eleza maana ya istilahi hii: Usanifishaji
2. Eleza mambo manne yaliyochangia maenezi ya kiswahili kabla ya uhuru.
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)
- “Starehe za nyani kuchezea tagaa mbovu nazo ni starehe?” (a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (b) Tambua mbinu ya lugha katika dondoo na ueleze maana....(Solved)
"Starehe za nyani kuchezea tagaa mbovu nazo ni starehe?"
a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
b) Tambua mbinu ya lugha katika dondoo na ueleze maana.
c) Eleza sifa sita za:
i. Msemaji
ii. Msemewa
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)
- Tamaa inatawala katika Tamthilia ya Kigogo. Dhibitisha(Solved)
Tamaa inatawala katika Tamthilia ya Kigogo. Dhibitisha
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)
- Jadili maudhui ya utabaka katika tamthilia ya Kigogo(Solved)
Jadili maudhui ya utabaka katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)
- Ichambue jalada ya tamthilia ya Kigogo(Solved)
Ichambue jalada ya tamthilia ya Kigogo
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)
- Eleza tofauti kati ya malumbano ya utani na mawaidha
(Solved)
Eleza tofauti kati ya malumbano ya utani na mawaidha
Date posted: April 27, 2018. Answers (1)
- Eleza umuhimu wa ngomezi.(Solved)
Eleza umuhimu wa ngomezi
Date posted: April 27, 2018. Answers (1)
- (a) Eleza maana ya mivigo na inakotumika (b) Eleza sifa za miviga (c) Onyesha umuhimu wa miviga.(Solved)
(a) Eleza maana ya mivigo na inakotumika
(b) Eleza sifa za miviga
(c) Onyesha umuhimu wa miviga.
Date posted: April 27, 2018. Answers (1)
- Fafanua sifa za mawaidha ukizingatia: hadhira, fanani, maudhui, fani(Solved)
Fafanua sifa za mawaidha ukizingatia
hadhira
fanani
maudhui
fani
Date posted: April 26, 2018. Answers (1)
- Fafanua aina za nyimbo zifuatazo bembelezi, za sifa, za mapenzi(Solved)
Fafanua aina za nyimbo zifuatazo bembelezi, za sifa, za mapenzi.
Date posted: April 24, 2018. Answers (1)
- Taja sifa Tano bayana Kati ya pijini na Krioli(Solved)
Taja sifa Tano bayana Kati ya pijini na Krioli
Date posted: April 24, 2018. Answers (1)
- Tumia neno vibaya kama: kivumishi, kielezi na kiwakilishi(Solved)
Tumia neno vibaya kama: kivumishi, kielezi na kiwakilishi
Date posted: April 24, 2018. Answers (1)
- Weka majina haya katika ngeli mbili tofauti. 1.Ua 2. Maziwa 3. Nyanya 4. Tikiti(Solved)
Weka majina haya katika ngeli mbili tofauti. 1.Ua 2. Maziwa 3. Nyanya 4. Tikiti
Date posted: April 24, 2018. Answers (1)
- Nyambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendewa.1. Twika 2. Tata(Solved)
Nyambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendewa.1. Twika 2. Tata
Date posted: April 24, 2018. Answers (1)
- Taja matumizi matatu ya kiambishi KI
(Solved)
Taja matumizi matatu ya kiambishi KI
Date posted: April 24, 2018. Answers (1)
- Andika sentensi sahihi ukitumia viambishi vya hali na nyakati vifuatavyo. 1. Ku 2. Ja 3. A(Solved)
Andika sentensi sahihi ukitumia viambishi vya hali na nyakati vifuatavyo.
1. Ku
2. Ja
3. A
Date posted: April 24, 2018. Answers (1)
- Eleza jinsi ya kuandika ripoti ya utafiti(Solved)
Eleza jinsi ya kuandika ripoti ya utafiti.
Date posted: April 23, 2018. Answers (1)
- Utawala mbaya ni tatizo kuu linalozikumba nchi nyingi za kiafrika. Jadili kwa kurejelea matukio mbalimbali katika tamthilia ya kigogo(Solved)
Utawala mbaya ni tatizo kuu linalozikumba nchi nyingi za kiafrika. Jadili kwa kurejelea matukio mbalimbali katika tamthilia ya kigogo.
Date posted: April 23, 2018. Answers (1)