Bwana Chansela Sir, ni furaha yangu kumwalika Mkuu wa kitengo cha uhandisi ili atusomee arodha ya mahafala .......................... (i) Mazungumzo haya ni ya muktadha gani? (alama 2) ...

      

Bwana Chansela Sir, ni furaha yangu kumwalika Mkuu wa kitengo cha uhandisi ili atusomee arodha ya
mahafala ..........................
(i) Mazungumzo haya ni ya muktadha gani? (alama 2)

(ii) Taja sifa za rejesta hii. (alama 8)

  

Answers


ESTHER

(a) Sherehe za kufuzu. (alama 2)
(b) (i) Utohozi
(ii) Kuchanganya ndimi.
(iii) Msamiati maalum k.m Chansela, mahafala.
(iv) Takriri/kurudiwarudiwa kwa maneno fulani.
(v) Uchangamfu wa kipekee. (4 x 2 = 8)


ESTHER STEVE answered the question on April 30, 2018 at 19:49


Next: How does Christian marriage qualify to be a covenant?
Previous: (a) Eleza maana ya istilahi zifuatazo za isimu jamii. i) Lafudhi ii) Lahaja iii) Rejesta Taja sifa nne za sajili ya wanasiasa (alama 4)

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions