(a) Eleza maana ya istilahi zifuatazo za isimu jamii. i) Lafudhi ii) Lahaja iii) Rejesta Taja sifa nne za sajili ya wanasiasa (alama 4)

      

(a) Eleza maana ya istilahi zifuatazo za isimu jamii.
i) Lafudhi

ii) Lahaja

iii) Rejesta
Taja sifa nne za sajili ya wanasiasa (alama 4)

  

Answers


ESTHER
1. (a) (i) Lafudhi ni upekee wa mtu kuzugumza lugha. Alama 2
(ii) Lahaja ni matumizi ya lugha kimaeneo Alama 2
(iii) Rejesta ni dhana ibainishayo matumizi ya lugha kulingana na makundi na mahali. Alama 2
(b) Lugha inayotumiwa si sanifu
Lugha aghalabu huwa na matuzi kwa wapinzani.
Lugha imejaa ahadi nyingi
Lugha huwa imetiwa chumvi
Sentensi fupi hutumiwa
Lugha hutumia mafumbo
Kuna kuchanganya ndimi
Lugha ya kujisifu hutumiwa
Lugha ya kujibizana hutumiwa
Msamiati teule wakati mwingine hutumiwa
Huwa kuna matumizi ya nyimbo
Hoja zozote (4)

ESTHER STEVE answered the question on April 30, 2018 at 19:51


Next: Bwana Chansela Sir, ni furaha yangu kumwalika Mkuu wa kitengo cha uhandisi ili atusomee arodha ya mahafala .......................... (i) Mazungumzo haya ni ya muktadha gani? (alama 2) ...
Previous: (a) Katika jamii huwa wakati mwingine kuna matumizi ya lugha isiyo ya kistaarabu.taja mifano mitano ya lugha ya sampuli hiyo. ( alama 5) (b) Taja mambo matano...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions