Onyesha jinsi mbinu ya Taharuki imetumiwa katika Tamthilia ya kigogo(Solved)
Onyesha jinsi mbinu ya Taharuki imetumiwa katika Tamthilia ya kigogo
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
Jadili maudhui ya siasa katika Tamthilia ya kigogo(Solved)
Jadili maudhui ya siasa katika Tamthilia ya kigogo
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
Jadili kwa kina sifa zozote tano zinazokitambulisha Kiswahili kama lugha ya kibantu(Solved)
Jadili kwa kina sifa zozote tano zinazokitambulisha Kiswahili kama lugha ya kibantu.
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
Jadili aina tatu za ‘maana’ huku ukizitolea mifano kutoka Kiswahili.(Solved)
Jadili aina tatu za ‘maana’ huku ukizitolea mifano kutoka Kiswahili.
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
Upepo unapovuma, kaskazi kwenda kusi ,
Kwa ngurumu kututuma, ukivisomba vifusi,
Ukasukua milima, nakuyang' oa manyasi,
IIi kukwepa mikosi, miti mikuu hwinama.
Miti mile...(Solved)
Upepo unapovuma, kaskazi kwenda kusi ,
Kwa ngurumu kututuma, ukivisomba vifusi,
Ukasukua milima, nakuyang' oa manyasi,
IIi kukwepa mikosi, miti mikuu hwinama.
Miti mile iloimia , ikaijaza nafasi,
Kwa matawi yake mema, kusheheneza utosi,
Haiwi iko salama, upepo ukenda kasi,
IIi kukwepa mikosi , miti mikuu hwinama.
Upepo ukiivuma , miti haitaanasi,
Huchezeshwa lelemama, ikachezeshwa na dansi,
Matawi yake hunema , yakakatika rahisi,
IIi kukwepa mikosi, miti mikuu hwinama.
Upepo ukitetema, hukata kama makasi,
Miti hwingia ulema, uzima ukawa basi,
Hilivunja tawi zima, kama eawi halinesi,
IIi kukwepa mikosi, miti mikuu hwinama.
Upepo una zahama , hasa ule wa chunusi,
Hata misitu hwandama, ikabaki mufilisi,
Matawi mani huhama, ikapoteza nemsi,
IIi kukwepa mikosi, miti mikuu hwinama.
Upepo unasukuma, miti hula sarakasi,
Matawi yakachutama, mengi chini hujilisi,
Watu ukiwatazama, wanavuja makamasi,
IIi kukwepa mikosi, miti mikuu hwinama.
Ndege wachimachima, viota wameviasi,
Wakajiweka wanyama, kwenye vichaka yabisi,
Majahazi yaparama, yakenda mwemdo wa ngisi,
IIi kukwepa mikosi, miti mikuu hwinama .
.
Miti mile yenye kima , yenye tambo mahsusi,
Mtawi kakikingama, ili upepo kuuasi,
Billahi yaja nakama, kubwa tena kwa wepesi,
IIi kuwepa mikosi, miti mikuu hwinama.
Miti mile hungama, na kujidhili nafusi,
Upepo ukishavuma, ndipo inatanafusi,
Vinginevyo ni kiyama, hapana wa kuramisi,
Ili Kukwepa mikosi, miti mikuu hwinama.
Maswali
(h) Andika kichwa mwafaka cha shairi hili. (alama 2)
(i) Eleza ujumbe uliomo katika shairi hili. (alama 3)
(j) Taja na utoe mifano ya tamathali za usemi zilizotumiwa katika shairi. (alama 4)
(k) Eleza muundo wa shairi hili. (alama 4)
(l) Andika ubeti wa sita kwa lugha nathari. (alama 4)
(m) Eleza maana ya misamiati ifuatayo kama ilivyotumiwa katika shairi.(alama 3)
(i) Kututuma
(ii) Haitaanasi
(iii) Zahama
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
Na ujenge nyumba yako, jingi jasho likuoshe,Ufyeke, upime na uweke nguzo,Kisha paa uweke na ukandike,Siku nyingi bila kuingiliwa na mgeni hutakaa.Wataanza kutalii mpaka mende usiku,Nje...(Solved)
1. Na ujenge nyumba yako, jingi jasho likuoshe,
Ufyeke, upime na uweke nguzo,
Kisha paa uweke na ukandike,
Siku nyingi bila kuingiliwa na mgeni hutakaa.
Wataanza kutalii mpaka mende usiku,
Nje na ndani ya nyumba watazunguka,
Bila woga, bila ruhusa ulichonacho watakula,
Masalia yatakuwa yako, ijara ya kaziyo.
Na nyingi dawa uweke, nyumba nzima uihame,
Ukae nje nzima siku usubiri,
Wazima wamelala ukirudi usiku,
Vichwa vigumu hawafi mende rahisi.
Kifo cha mende sharti miguu juu
Kichwa ukikanyage kipasuke usikie,
Na kisha wengine usiku mchana uwasake.
Mpaka watakapokwisha. Usiseme nao.
Maswali
(a) (i) Hili ni shairi la aina gani? (alama 1)
(ii) Tetea jibu lako. (alama 3)
(b) Eleza jinsi mshairi alivyoutumia uhuru wake katika utunzi wa shairi hili. (alama 4)
(c) Taja mbinu mbili za lugha alizotumia mshairi na uzitolee mifano. (alama 4)
(d) Andika ubeti wa tatu kwa lugha nathari. (alama 4)
(e) Eleza ujumbe wa mshairi. (alama 2)
(f) Toa mfano mmoja wa mshata. (alama 1)
(g) Kichwa gani kinaliafiki shairi hili? (alama 1)
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
Tom: Vipi Tracey? Naona leo unalinga sana.
Umenivaria miwani, mbona hivi? Is it because you are very smart today?
Tracey: Niko poa! Hata hivyo naona una yako mengine wewe!...(Solved)
Tom: Vipi Tracey? Naona leo unalinga sana.
Umenivaria miwani, mbona hivi? Is it because you are very smart today?
Tracey: Niko poa! Hata hivyo naona una yako mengine wewe! Siringi! Nikobusy tu sana. Plus company yako inatisha, hujui siku hizi nimechill.Tena umenubore.
Tom: Kumbe wewe ni……………………………
(a) Taja sajili inayojitokeza katika dondoo hii. (alama 1)
(b) Taja mifano inayojitokeza katika dondoo ya
(i) Kubadili msimbo (alama 1)
(ii) Kuchanganya msimbo. (alama 1)
(c) Ni kwa nini wazungumzaji hubadili na kuchanganya msimbo. (alama 2)
(d) Ni mzungumzaji yupi ana lafudhi? Ni nini maana ya lafudhi? (alama 3)
(e) Taja sababu mbili za kuwa na lafudhi. (alama 2)
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
(a) Katika jamii huwa wakati mwingine kuna matumizi ya lugha isiyo ya kistaarabu.taja mifano mitano ya lugha ya sampuli hiyo. ( alama 5)
(b) Taja mambo matano...(Solved)
(a) Katika jamii huwa wakati mwingine kuna matumizi ya lugha isiyo ya kistaarabu.taja mifano mitano ya lugha ya sampuli hiyo. ( alama 5)
(b) Taja mambo matano yanayoathiri jinsi tunavyoweza kutumia lugha katika jamii(mtindo nafsi na mtu)
MAJIBU
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
Bwana Chansela Sir, ni furaha yangu kumwalika Mkuu wa kitengo cha uhandisi ili atusomee arodha ya
mahafala ..........................
(i) Mazungumzo haya ni ya muktadha gani? (alama 2)
...(Solved)
Bwana Chansela Sir, ni furaha yangu kumwalika Mkuu wa kitengo cha uhandisi ili atusomee arodha ya
mahafala ..........................
(i) Mazungumzo haya ni ya muktadha gani? (alama 2)
(ii) Taja sifa za rejesta hii. (alama 8)
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
Mifano miwili ya fomyula ya ufunguzi wa hadithi (Solved)
Mifano miwili ya fomyula ya ufunguzi wa hadithi
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
Eleza vigezo vya kutumia katika uchambuzi wa lugha(Solved)
Eleza vigezo vya kutumia katika uchambuzi wa lugha
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)
Jadili ufaafu wa anwani "kigogo" katika tamthilia ya kigogo(Solved)
Jadili ufaafu wa anwani "kigogo" katika tamthilia ya kigogo
Date posted: April 29, 2018. Answers (1)
“Mwendazake alikuwa mcha Mungu pengo aliloacha halijaziki. Atakumbukwa milele daima. Mungu ….” (i) Tambua muktadha wa rejista hii.....(Solved)
“Mwendazake alikuwa mcha Mungu pengo aliloacha halijaziki. Atakumbukwa milele
daima. Mungu ….”
(i) Tambua muktadha wa rejista hii.
(ii) Eleza sifa za rejista hii.
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)
(a) Nini maana ya kufa kwa lugha. (b) Eleza sababu zozote tano zinazochangia kufa kwa lugha(Solved)
(a) Nini maana ya kufa kwa lugha.
(b) Eleza sababu zozote tano zinazochangia kufa kwa lugha.
(c) Taja aina tatu za makosa ya lugha.
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)
(a) Vijana huchangia pakubwa katika kuhujumu maendeleo ya lugha ya kiswahili. Jadili ukweli wa kauli hii ukitoa mifano miwili. (Alama 4) (b) Pendekeza njia tatu ambazo kwazo vijana...(Solved)
(a) Vijana huchangia pakubwa katika kuhujumu maendeleo ya lugha ya kiswahili. Jadili ukweli wa kauli hii ukitoa mifano miwili.
(b) Pendekeza njia tatu ambazo kwazo vijana wanaweza kushiriki katika kuikuza lugha ya kiswahili.
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)
“Starehe za nyani kuchezea tagaa mbovu nazo ni starehe?” (a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (b) Tambua mbinu ya lugha katika dondoo na ueleze maana....(Solved)
"Starehe za nyani kuchezea tagaa mbovu nazo ni starehe?"
a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
b) Tambua mbinu ya lugha katika dondoo na ueleze maana.
c) Eleza sifa sita za:
i. Msemaji
ii. Msemewa
Date posted: April 28, 2018. Answers (1)