“Lowela tunapendana mno na ni msiri wangu wala hakuogopa kuniambia yaliyojiri.(a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (b) Fafanua ‘yaliyojiri’ kwa mujibu wa msemaji. (c)Lowela ni kielelezo kibaya cha msichana wa kisasa. Thibitisha.

      

“Lowela tunapendana mno na ni msiri wangu wala hakuogopa kuniambia yaliyojiri.
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
(b) Fafanua ‘yaliyojiri’ kwa mujibu wa msemaji.
(c) Lowela ni kielelezo kibaya cha msichana wa kisasa.
Thibitisha.

  

Answers


ESTHER
(a) Yalisemwa na Ben Bella.
? Katika barua.
? Kwa mashaka.
? Kuhusu uhusiano wao na sababu ya kuachana.
(b) Yaliyojiri.
? Lowela alikuwa mpenziwe Mtemi Nasaba Bora.
? Kwamba alikuwa amempachika mimba.
? Alipelekwa shambani Baraka kufichwa kule.
? Aliificha mimba kwa kufunga kamba tumboni.
? Alijifungua mtoto.
? Alichukuliwa na Mtemi Nasaba Bora na kumweka mlangoni pa Amani.Zozote

(c)
? Kuacha masomo akiwa mchanga.
? Kukosa nidhamu kwa kujiingiza katika mapenzi nje ya ndoa.
? Kutupa mtoto – Aliikubali achukuliwe.
? Mtoro – Kutoroka nyumbani hivyo kuwasumbua wazazi.
? Anavunja ndoa ya wenyewe.

ESTHER STEVE answered the question on April 30, 2018 at 20:46


Next: Ujenzi wa jamii mpya ni wajibu wa vijana. Thibitisha ukweli wa kauli hii ukirejelea riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.
Previous: Explain the problems faced by Africans farmers during colonial period

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions