Eleza umuhimu wa fasihi.

      

Eleza umuhimu wa fasihi.

  

Answers


Edith
- Huelimisha kutokana na mafunzo yaliyomo kwenye tungo.
- Ni kioo cha jamii ilhali humwezesha mwanadamu kujiangalia na kujikosoa katika jamii.
- Humpa mtu ujasiri wa kupambana na changa moto maishaini.
- Humsaidia mtu kujenga tabia ya kudadisi mambo maishani.
- Humwezesha msomaji kuyaelewa mazingira take sawasawa.
- Fasihi ni burudani, hutumbuiza na kuburudisha.
eddynightsy answered the question on May 9, 2018 at 13:47


Next: Explain five factors which determine the productivity of labour
Previous: Functions of cities in Kenya?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions