Taja miundo yoyote mitano ya nomino katika ngeli ya A-WA

      

Taja miundo yoyote mitano ya nomino katika ngeli ya A-WA

  

Answers


ESTHER
1. M-Wa mtoto anacheka/ watoto wanacheka
2. mu-wa muungwana amefika/ wangwana wamefika
3. ki-vi kipofu ametibiwa/ vipofu wametibiwa
4. m-mi mtume amekuja / mitume wamekuja
5. mwa-wa mwanafunzi anasoma/ wanafunzi wanasoma


ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 19:33


Next: Outline 2 reasons why consumers may decide to save rather than spend their income.
Previous: Fafanua dhima tano za michezo ya chekechea

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions